Micah 3:5

5 aHili ndilo asemalo Bwana: “Kuhusu manabii wanaowapotosha watu wangu,
mtu akiwalisha,
wanatangaza ‘amani’;
kama hakufanya hivyo,
wanaandaa kupigana vita dhidi yake.
Copyright information for SwhKC